Mbosso – Shilingi ft. Reekado Banks

New bongo single entry from Mbosso – Shilingi download Mp3 ft. Reekado Banks

Lyrics and video coming soon, in the meantime

Listen and download song down below

Mbosso Shilingi Mp3 Download

Mbosso Shilingi Lyrics

Naapa kwa Bibilia
Nashika na masafu
Naapa mbingu dunia

Funika kibakuli
Fungua moyo wa furaha
Sura za mafedhuli
Nyeusi fi, zimewafura

Wasome kwa Zaburi, Wagalatia
Hawashindi kudura
Hili penzi tanuri wakivamia
Litawavula

Anikuna nazi
Mi nikamue tui
Tule wali mbaazi
Yetu mapochopocho

Sasa tuanze kazi
Usiku kwa asubuhi
Walitumwa geradhi
Mambo ya soko soko

Penzi sarafu lina pande mbili
Shilingi ya ng’ara ng’ara
Mwengewe bichwa mie
Shilingi ya ng’ara ng’ara

Kidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng’ara ng’ara
Doli doli za mbwela
Shilingi ya ng’ara ng’ara

Why you dey my side, Nobody dey ooh
Girl you dey, Nobody dey ooh
Take over my whole space
Roking my white shirt eeh

Ooh dance yah shatta
Anything for you I shake
Sometimes my body too lazy
But when you call me I go visit

Mmmh ah my toto baby waje
Shake your waje
Sometimes- too low
Thats why you call me I gon still show


Cz I love you
And I want to give you all my love

Penzi sarafu lina pande mbili
Shilingi ya ng’ara ng’ara
Mwengewe bichwa mie
Shilingi ya ng’ara ng’ara

Kidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng’ara ng’ara
Doli doli za mbwela

Asa beiby komesha
Jishembe, jishembendue
Jishe, jishembe jishembendue
Jishaue beiby, jishembe jishembendue
Wajue mashauzi umezaliwa nazo
Jishaue beiby, jishembe jishembendue

Deka deka, jishembe jishembendue
Komesha vinyunguruta, jishembe jishembendue
Waambie sisi gari la petoroli
Wasije iba mafuta

Check:   Samthing Soweto – Omama Bomthandazo ft. Makhafula Vilakazi

(Abbah)